0
Rapper wa Tamaduni Muzik, Azma Mponda yupo nchini Kenya alikoenda kurekodi ngoma.
10440991_1577712392502202_3669571473864002758_n
Akiongea na kipindi cha Mambo Mseto cha Radio Citizen jijini Nairobi, Azma amedai kuwa amerekodi ngoma kadhaa kwenye studio za Mandugu Digital na amewashirikisha maheavyweight rappers wa nchini humo.

“Nimefanya kazi na Candy, nimefanya kazi na Singer Babz, nimefanya kazi na Khaligraph na nipo nafanya kazi na kaka mkubwa Abbas Kubaff,” amesema rapper huyo.

Post a Comment

 
Top