0
Drake ameyaonja mate yenye umri wa miaka 56 ya Madonna. Wawili hao walikuwa wakitumbuiza pamoja kwenye weekend ya kwanza ya tamasha la Coachella.
madonna-drake-kiss-coachella-screen-grab-billboard-650
Drake alimwalika muimbaji huyo wakati akiimba wimbo wake ‘Madonna’ kabla ya kuendelea na kuimba ngoma zake Hung Up na Human Nature.

Alipomaliza alimfuata Drake aliyekuwa amekaa kwenye kitu na kumwangushia mvua ya mabusu kwa kushtukiza!

Post a Comment

 
Top