0
Mwamuzi wa pambano la masumbwi linalosubiriwa kwa hamu kati ya Floyd Mayweather na Manny Pacquio ataambuliwa malipo ya dola 10,000 (zaidi ya shilingi milioni 18).
Pambano hilo litapigwa kwenye ulingo wa MGM Grand jijini Las Vegas, Marekani, May 2 na linatarajiwa kuingiza dola milioni 400 ambapo Manny atalipwa dola milioni 100 na Mayweather takriban dola milioni 150!

Kwa mujibu wa Telegraph, ni kati ya Kenny Bayless na Tony Weeks ndio anaweza kuwa mwamuzi.

Post a Comment

 
Top