0
Lady Jaydee amedai kuwa mpaka mwaka 2015 unaisha atakuwa amejenga nyumba tano.
Akizungumza kwenye kipindi cha Diary ya Lady Jaydee cha EATV wakati alipotembelea baadhi ya viwanja vyake, muimbaji huyo alisema wake ni kuhakikisha ndani ya mwaka huu anakamilisha ujenzi wa nyumba tano.

“Kiwanja cha kwanza kilishamalizwa kufyekwa sasa tunahamia kiwanja cha pili kwa sababu malengo ni kumaliza nyumba tano mpaka itakapofikia mwisho wa mwaka 2015, kwahiyo kazi ndo imeanza,” alisema.

Post a Comment

 
Top