0
Followers wa Instagram wamemtibua miss Tanzania 2006, Wema Sepetu baada ya kuanza kuikosoa miguu yake kwenye picha aliyopost.
Baada ya kupost picha akiwa na dada yake akiwa amevaa sketi inayoonesha miguu yake, comments za baadhi ya followers wake zilimfanya ashindwe kuwavumilia na kuamua kuwatolea uvivu.



Hiki ndicho alichokiandika: “Naomba niwaulize nyinyi mnaojiona miungu watu…. Mlitaka nijiongeze nyama miguuni kwangu au…? Ndo ilivyo na kuacha kuvaa nguo za kuionesha siwezi… Ntavaa tu… Yaani wala siwezi acha… Iwe mibaya iwe ina makovu iwe na michirizi ni Ya Wema Sepetu… na kwakuwa ni yangu basi nita i embrace.. Tuko pamoja eeh… Sasa muache vifimbo vyangu… maana ndo Mungu alonibarikia navyo…. Mchana mwema wajameni…”

Post a Comment

 
Top