0
Rapper Panshak “Ice Prince” Zamani wa Nigeria ambaye ameshirikishwa kwenye wimbo mpya wa Jokate ‘Leo Leo’ uliotoka hivi karibuni, ameweka picha aliyopiga na rapper wa Marekani, mme wa Beyonce na boss wa Roc Nation, Jay Z iliyowafanya mashabiki wa muziki wapate hisia kwamba huenda kuna kitu kikubwa kinakuja.

Ice Prince na Jay Z
Kwenye picha hiyo Ice ameandika : “#Roc The story Loading… Ice|Hov“.

Kwenye picha hii ameandika: “Alot Learned Today! Bless King Hov cc @iamsirnigel @rogerbeat @tobisannidaniel @obithemanager0 Africa To the World”

Post a Comment

 
Top