0
Pamoja na kufariki kwa muigizaji wake muhimu Paul Walker mwaka juzi, filamu ya Fast & Furious 7 inatarajiwa kuingiza makadirio ya faida ifikayo dola bilioni 1.37.
“Furious 7” inaweza kuingiza dola milioni 119 za mauzo ya tiketi katika weekend yake ya kwanza na dola milioni 283 kwenye majumba ya sinema nchini Marekani na Canada kwa mujibu wa BoxOffice.com.

Hiyo itafanya “Fast & Furious” kuwa filamu ya mfululizo hiyo yenye mafanikio zaidi kuliko zote. Kwa pamoja filamu za kwanza sita ziliingiza dola bilioni 2.38.

Walker alifariki akiwa na umri wa miaka 40 kwa ajali mbaya ya gari November 2013.

Post a Comment

 
Top