0
maurice
Muimbaji Maurice Kirya wa Uganda ametoa video mpya ambayo ukiitazama ni lazima uvunje mbavu.
Wimbo huo uitwao ‘Busaabala’ ambao umeimbwa kwa Kiganda una story ambayo hata kama huelewi kinachoimbwa lakini utaipenda na kuielewa kirahisi. Video hii ya Maurice imefata baada ya ‘Never Been Loved’ ambayo kwasasa inapata airplay kubwa kwenye kituo cha Trace Urban cha Ufaransa.

Post a Comment

 
Top