Vanessa Mdee azungumzia jinsi album yake ‘Money Mondays’ itakavyouzwa 03:16 team kazi entertainment 0 Bongo star A+ A- Print Email Album ya kwanza ya Vanessa Mdee itaitwa ‘Money Mondays’. Album hiyo inatarajiwa kutoka mwaka huu. Akiongea na 255 ya XXL kupitia Clouds FM, Vee Money alisema ‘Money Mondays’ itakuwa na jumla ya nyimbo 10 na collabo kadhaa. Amedai kuwa itauzwa kupitia mtandaoni zaidi kama wafanyavyo wasanii wa kimataifa.
Post a Comment