0
Reality TV ya couple kwenye burudani iliyo na nguvu zaidi Afrika Mashariki inakuja.

Yes, Diamond Platnumz na Zari the Bosslady wanafikiria kuja na show yao! “Hatutaki kufanya ionekane na sisi tunataka kufanya,” Diamond alisema kwenye mahojiano maalum na Clouds FM/TV. “Lakini tutafanya kitu ambacho kitakuwa bora ambacho kama tulivyoweza kufanya vitu vingine vikafanyika vizuri hilo nalo likae sawa na kila mmoja alifurahie. Kiwe moja ya vipindi vingine ambavyo watu wanavisubiria wavitazame na kilete maslahi pia.

Post a Comment

 
Top