0

Diamond plutnumz kaamua kjibu swali ambalo alikuwa akiuulizwa sana na mashabiki hii ni baada ya kuonekana haombi kura kwa mashabiki wake kwenye kipendele anachowania katika tuzo za KTMA, Ikiwa wasanii wengine wanaendelea kuomba kura sehemu tofauti kwenye mitandao yakijamii kupitia ukurasa wake wa facebook ameamua kufunguka sababu za yeye kutokuomba kura ameandika huku hisia zake zikionyesha kutokuridhika na upangwaji wa vipengele vinavyo shindaniwa.

Hii ndio post aliyoandika diamond


Post a Comment

 
Top