Feza akisaini mkataba mpya wa usimamizi Feza ambaye pia aliwahi kuwa chini ya kampuni ya Unity Entertainment ya AY, amesaini mkataba wa muda mrefu na kampuni hiyo ambayo imesema kuwa mkakati wao ni kumtambulisha vizuri Feza kwenye soko la Tanzania na baadaye kuhamia soko la Afrika na nje ya Afrika.
“Our strategy is to establish Feza in the local Tanzanian market first and then develop her brand internationally in both the African continent and across the world” alisema Doreen Noni, mkurugenzi wa Panamusiq.
Post a Comment