Diva ni mpenzi wa Crazy GK, lakini anatamani kuzaa na Chris Brown.
Katika post ya Instagram ambayo followers wake wengi wameitafsiri kuwa ni mwiba kwa mpenzi wake GK, mtangazaji huyo wa Clouds FM amesema: Natamani kuzaa na Chris Brown baby number 2,” ameandika Diva kwenye video aliyoiweka ya mtoto wa Chris, Royalty.
“So cute need to eat her right about now, hair on fleek. brows ndo usiseme .. #Onfleek and yea all natural baby WhooHoo, sooo cute I so damn love her, tag your bestie anaetaka kuzaa na chris brown baby number 2, cute baby for days.”
Pamoja na kuandika ujumbe huo kwa utani tu (tunadhani hakumaanisha kihivyo sababu ni wapi atampata Chris anyways), mashabiki wake hawajaupokea vizuri sana.
“Diva nlikua nakuona unajielewa kumbe nothing asa huyo wa kwako atakufkriaje akiona hy post?” amehoji erasmi_sixty huku mwingine akisema, “Vp GK tena uwezi zaa nae au mtt atatsha awezi kuwa cute bc njoo @mwanza update cute japo ulitusema ila wapo cute km cye ila uwai nafasi ni chache wa kukutaka ww.”
“Sio vizuri dada huwez kusia kuzaa na mtu mwingine wakati una mpenz wako, unadhani GK anajickiaje?,” amehoji agnessh50.
Hata hivyo wapo waliomuunga mkono na kudai kuwa si jambo la ajabu.
“Minataka kuzaa na t.i kwani tatizo liko wapi wangu maamuzi yako tu,” ameandika roseemkinga huku bforshizzle akisema: Kila mtu na maamuz yke sasa nashangaa @divathebawse kuandika anacho jiskia.”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment