0
STAR NISHA KIMBILIO LA WANYONGE
kwa takriban miaka mi4 tangu aanze kufanya filamu zake mwenyewe,Star wa filamu machachari ,anayejielewa,asiye na scandals na tishio kwa wasanii wote Tanzania (wakike kwa wanaume)mwenye uoga wa M'Mungu bi Salma Jabu Nisha,amekuwa kimbilio la wanyonge kwa kuwa number moja ya msanii asiye mbinafsi na kusaidia wasanii wachanga kwa kuwachezesha ktk movie zake na kusaidia wasiojiweza (yatima,wajane,walemavu n.k)Nisha amekuwa si mtu wa maneno sana zaidi ya vitendo,na kikubwa zaidi si mtu wa kujigamba ana nini na nn,ndio maana tunaamini M'Mungu anambariki kwa njia hizo.
Wakiongea na mwandishi wetu baadhi ya washiriki walioshiriki katika filamu mpya ya mwanadada huyo "NISHA" ambaye pia ni mkurugenzi wa NISHA'S FILM PRODUCTION aliongea kwa uchungu hadi akaandika hivi kwenye ukurasa wake wa instagram
Akiwa kaandika hivi




Post a Comment

 
Top