0



U Heard inahusu picha mbaya ambayo amepigwa msanii Shilole akiwa kwenye show Ubelgiji, picha imeenea mitandaoni ikamfikia na Soudy Brown, akaona amcheki Shilole.

Shilole amesema alipigwa picha hiyo akiwa hajitambui kwamba nguo yake imechanika na kifuani pakabaki wazi.. Shilole hajapendezwa na mtu ambae kampiga picha hiyo, kwa sababu yeye alikuwa kwenye kazi yake na haikuwa dhamira yake kukaa kifua wazi kwenye stage wakati akifanya show.

U Heard iko hapa, bonyeza play uisikilize yote !!

Post a Comment

 
Top