“Project imeshakamika 80% na wasanii wote wa Tip Top wameingiza sauti pamoja na Diamond na iliyobaki ni kazi ya producer na baada ya hapo tutafanya video ili zitoke pamoja,” amesema Madee.
“Sasa hivi target yetu ni nje, kwahiyo lazima tufanye kweli,” amesisitiza.
“Kazi inaitwa ‘Kinanukaga’ na itatoka mwezi ujao, sema sasa kuna wasanii wa Tip Top kama Raymond huu ndio wakati wake na kuna wengine pia wana kazi zao.”
Post a Comment