Diamond Platnumz ameendelea kuwa ‘hot cake’ machoni kwa wasanii wa Afrika, ambao wameendelea kumualika kubariki kazi zao kwa kumshirikisha kwenye nyimbo zao.
Diamond na Donald Baada ya Kcee wa Nigeria kuachia collabo yake na Diamond wiki hii, msanii mwingine wa Afrika Kusini aitwaye Donald ameingia studio za Universal za Afrika Kusini kufanya collabo na Chibu.
Kupitia akaunti yake ya Instagram Donald ameshare picha wakiwa studio na Chibu na kuandika:
“NEWS: Going in studio with Tanzanian Superstar @diamondplatnumz from today #NewJourney #AfricaTakeOver #PanAfricanCollabo”
Kwenye picha nyingine aliandika:
“In studio with Tanzanian Superstar @diamondplatnumz bridging the gap between East and South like you’ve never seen it before. BE READY AFRICA”
Diamond naye alishare picha na kuandika:
“Ryt now in Universal Studios, Cooking some delicious food for you.. i swear you gonna Love this…!!! @donaldindenial ft your one and Only @Diamondplatnumz #South Meets #East”
Home
»
Bongo star
»
south afrika star
» Diamond afanya collabo nyingine na msanii wa Afrika Kusini, Donald. Wairekodia Universal Studios
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment