Sauti Sol wamchezesha Barack Obama
Kundi la Sauti Sol lilijipatia ujiko mwingi baada ya juzi kutumbuiza kwenye hafla iliyohudhuriwa na Rais wa Marekani Barack Obama na mwenzie...
Toni Braxton and Babyface to perform in Africa
Legendary R&B diva, Toni Braxton and Babyface will be performing in South Africa and Zimbabwe between August 28 and September 3.
Ommy Dimpoz na Shilole wapata shavu pamoja Marekani mwezi September
Huu sio mwaka mbaya kwa Ommy Dimpoz na Shilole, ambao kalenda zao bado zinaonesha watakuwa na show kadhaa za kimataifa kabla 2015 kuisha.
Big Brother Africa kutofanyika mwaka huu?
Kuna uvumi uliosambaa kuwa reality Tv show ya Big Brother Africa (BBA) ambayo huziunganisha nchi mbalimbali za Africa haitafanyika mwaka huu...
Zari the Bosslady aonesha ujauzito wake ulivyokua kwa mipasho ya haja!
Zari The Bosslady ameshakuwa mswahili na huenda Taarab ikawa ni muziki anaousikiliza sana kwa sasa. Hiyo imeonekana kwenye picha nne alizopo...
Bobbi Kristina afariki dunia, familia yathibitisha
Mtoto wa Bobby Brown na marehemu Whitney Houston, Bobbi Kristina Brown amefariki dunia Jumapili July 26, ikiwa ni miezi sita imepita toka ak...
Diamond aleta tuzo nyingine tanzania
Wiki moja tu baada ya kushinda tuzo ya mtumbuizaji bora wa Afrika kwenye MTV MAMA, Diamond Platnumz ameshinda tuzo nyingine kubwa ya Afrika....
‘Chekecha Cheketua’ ya Alikiba yaingia kwenye ‘African Top 10′ ya Radio kubwa Nigeria
Alikiba ameanza kupenya katika vituo vya radio vya Nigeria.
Diamond, Alikiba, Vanessa, Jaydee, Ommy Dimpoz, Mpoto watajwa kuwania tuzo za AFRIMMA
Majina ya wasanii watakaowania tuzo za African Muzik Magazine Awards AFRIMMA yametolewa jioni ya Jumatatu.
MAJINA YA WASHINDI WA MTV MAMA NA WASHINDI WAKE
Haya ndio majina ya washiriki wa tuzo za mtv mama na washindi wake.