Mgombea urais wa chama cha CCM Mh. John Pombe Magufuli ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya tano kwa kupata kura milioni 8,882,935 dhidi ya mpinzani wake wa karibu Edward Lowassa aliyepata kura milioni 6,072,848
HONGERA SANA DK. JOHN POMBE MAGUFULI
Home
»
rais tanzania
» BreakingNews,Dr. John Pombe Magufuli ametangazwa rasmi kuwa mshindi kiti cha Urais Tanzania.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment