Gari hilo limewahi kuchukuliwa mara mbili. Mara ya kwanza, gari lake lilichukuliwa August lakini Tyga alilichukua tena na kupangwa kulirejesha Oct. 9. Benedict anadai kuwa rapper huyo alishindwa kufuata makubaliano na gari likachukuliwa tena Nov. 8.
Benedict sasa anamshtaki T-Raww akitaka alipwe $150,000 kutokana a hasara aliyopata.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.