Dj Speed | story | Teamkazi Enter|
story;Akon amtangaza rasmi director wa video za lebo yake Afrika ‘Konvict Africa’
Msanii na producer wa muziki Akon ambaye anamiliki lebo ya muziki ya
Dj Speed | story | Teamkazi Enter|
story;Akon amtangaza rasmi director wa video za lebo yake Afrika ‘Konvict Africa’
Msanii na producer wa muziki Akon ambaye anamiliki lebo ya muziki ya
Dj Speed | story | Teamkazi Enter|
story:Hawa ndio mastaa watakaosikika kwenye albamu ya ‘The Heart Part 4’ ya Kendrick Lamar
Orodha ya nyimbo na wasanii watakaosikika kwenye albamu mpya ya Kendrick Lamar ‘The Heart Part 4’ imevuja.
Vanessa Mdee na rapper wa Nigeria, Ice Prince Zamani jana wametumbuiza kwenye show ya Big Brother Naija 2017.
Dume Suruali ya Mwana FA huwenda ukawa ndiyo wimbo wa kwanza wa rapper huyo kufikisha views milioni 2 kupitia mtandao video wa YouTube kwa k...
Hit maker wa Moyo Mashine ambaye kwa sasa anafanya vizuri kupitia wimbo wake wa Phone, amemshauri Producer Sappy kufanya kazi kuliko kutenge...
Dj Speed | story | Teamkazi Enter|
Vanessa Mdee aitaja tarehe ya kutoka kwa album yake ‘Money Mondays’
Hatimaye Vanessa Mdee ametoa tarehe ya kutoka kwa album yake inayosubiriwa kwa hamu kubwa, Money Mondays.
Dj Speed | story | Teamkazi Enter|
Story:MSANII TOKA MKUBWA NA WANAWE ASEMA YOTE HAPA YALIYOJIFICHA
Hiki ndicho alichokisema STAR BOY CLASSIC msanii toka kundi mahafuru la salam tmk linaloundwa na wasanii 7 akiwemo na yeye .
Diamond Platnumz ni bingwa wa kusababisha povu kwenye mitandao ya kijamii. Jumanne hii alisababisha tafrani kwenye mtandao wa Instagram baad...
Matatizo hayaishi kumwandama Tyga. Rapper huyo anashtakiwa na mtu aitwaye Alex Benedict, anayedai kuwa ameshindwa kulipa deni analodaiwa baa...
Mashabiki wa kundi la Destiny’s Child wameanza kupata mshtuko baada ya kuona dalili zinazoonyesha kuonekana kurudi tena kwa kundi hilo. Hii ...
Mavins rekodi , Don Jazzy ame tweete kuwa wataanza kufanya kazi na iyanya.
Orodha ya wasanii watakaowania tuzo za mitindo za Abryanz Style and Fashion Awards 2016, Ijumaa ya Disemba 9 kwenye ukumbi wa hotel ya Seren...
Kundi lililotajwa kuwania tuzo za MTV MAMA mwaka huu, Navy Kenzo, litaachia album yake mpya ‘Above In a Minute’ December mwaka huu.
Dayna Nyange amefunguka kuwa atakuwa tayari kuwa chini ya lebo yoyote endapo watakubaliana na masharti yake.
Msanii wa Bongo Flava, Khadija Said Maige, maarufu kama Kadjanito amesema licha ya kufunga ndoa, muziki ataendelea kuufanya kama kawaida. Mu...
Msanii na mtayarishaji wa muziki kutoka nchini Afrika Kusini, Dj Maphorisa amefunguka urahisi anaoupata wakati anapofanya kazi na wasanii wa...
Muimbaji na mwalimu wa dance anayeishi nchini Ujerumani, Emanuel Austin, ameanzisha label yake – EMA Entertaiment.
Dj Speed | story | Teamkazi Enter|
WCB wampiaga bao shaa kumsainisha msanii huyu wa kike
Label ya Shaa, SK Musik, ilizidiwa ujanja na Wasafi Records ya Diamond na kumwahi kumsainisha msanii wa huyu wa kike.
Tanzania imetoka kapa kwenye tuzo za MTV MAMA 2016 zilizofanyika usiku wa Jumamosi hii jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Diamond, Alikiba...
Dj Speed | story | Teamkazi Enter|
ALICHOKISEMA AMMY CHIBA BAADA YA KUSHINDA SUPER NYOTA MBEYA
Msanii wa mziki wa kizazi kipya toka jijini MBEYA AMINA CHIBABA maharufu kama AMMY CHIBA Amekuwa mshindi wa super nyota iliyofanyika siku ya...