Saturday, 31 January 2015


 
NGOMA KALI MPYA YA MATONYA INAITWA HOMA YA JIJI!! SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA Jan 31, 2015 Michezo na Burudani NGOMA KALI MPYA YA MATONYA INAITWA HOMA YA JIJI!! SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja ..Bofya HAPA ULIKE PAGE YETU!.. Ngoma Kali Mpya ya MATONYA Inaitwa Homa ya Jiji!! SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA

Jay Z kununua kampuni ya kustream muziki ‘Aspiro’ ya Sweden kwa dola milioni 56

Jay Z amepanga kuinunua Aspiro – kampuni ya Sweden inayostream muziki kwa malipo ya mwezi kama inavyofanya Spotify.
jay-z-1024
Manunuzi hayo ni kupitia Project Panther Bidco, inayomilikiwa na kampuni ya Jay Z iitwayo S. Carter Enterprises.

Said Fella: Bila kuwekeza fedha kwenye muziki msanii unapoteza tu muda

Mwanzilishi wa kundi la muziki Wanaume Family na Yamoto Band, Said Fella amesema kama msanii anataka kufanya muziki, lazima yeye au uongozi unaomsimamia wawekeze fedha kwenye muziki wake.
fella3
Fella amewataka wasanii kuacha kuupeleka muziki wao kishkaji shkaji na waonyeshe nia ya dhati kwenye muziki wao.

AT: Muziki hauna matumaini ya kutoa wasanii wapya

Msanii wa muziki wa mduara, AT amesema kwa jinsi muziki wa Tanzania ulivyo kipindi hiki, hakuna dalili za kutoa wasanii wengine na kuwang’arisha.
at2
AT amedai kuwa hali hiyo imemfanya kushindwa kuachia wimbo mpaka atakapopata njia sahihi za kupenyeza muziki wake.
“Niliweka ahadi nitaachia video, lakini mpaka sasa hivi sijaachia kwa sababu muziki wa bongo sasa hivi hauna matumaini ya kutoa watu wapya,”

Picha: Zari ndani ya Dar, athibitisha kwa mara ya kwanza kwa kauli yake kuwa mpenzi wa Diamond

Katika mitoko yako ya weekend hii usije kushtuka utakapokutana na couple fulani ‘Ameizing’ ya TZ+UG, sababu Zari Tlale a.k.a The Boss Lady yupo ndani ya jiji la Dar au kama anavyopaita mrembo huyo D-City.
D-city1
Kupitia Instagram mrembo huyo wa Uganda ambaye makazi yake yako Afrika Kusini amepost picha kadhaa akiwa na mpenzi wake Diamond Platnumz kwenye gari ya staa huyo aina ya BMW.

Baba wa kambo wa Kim Kardashian na aliyemlea, Bruce Jenner anajibadilisha kuwa mwanamke!

Baba wa kambo wa Kim Kardashian ambaye ni baba mzazi wa Kendall na Kyle, Bruce Jenner yupo kwenye mchakato wa kujibadilisha kuwa mwanamke, kwa mujibu wa People.
1390406536_bruce-jenner-zoom
Taarifa hiyo imetolewa na mtu wa familia yake na kwamba ni mtu mwenye furaha na wanae wamekubaliana na hilo.

Jide: Kazi ya muziki nzuri jamani, Nilitoka kwetu na elfu 6 nikarudi mkoba umejaa. Aringishia mkwanja alizotunzwa jukwaani

Msanii akishafanikiwa kuwashawishi mashabiki kulipa kiingilio na kuingia kwenye show yake, hana kazi ya ziada zaidi ya kufanya show nzuri ambayo huwafanya mashabiki wenyewe kuingia tena mifukoni na kuwatunza kwa misimbazi ya kutosha.
jide
Lady Jaydee kupitia Instagram ametuonesha noti za msimbazi ambazo alitunzwa jukwaani na mashabiki waliohudhuria show yake ya jana pale MOG.

Monday, 26 January 2015

Msaada alioutoa Said Fela kwenda kwa timu hizi za watoto.

Hii ni good news kwa wadogo zetu ambao wengi wao wanapenda mpira wa miguu lakini kutokana

NDOTO ZA LOLLIPOP KUFANYA KAZI NA ALI KIBA

Kila mtu huishi kwa kufuata ndoto yake nini inasema….Safari ya Muandaji wa Muziki kutoka

Friday, 23 January 2015

Mtoto wa staa H Baba kupiga kinanda kwenye single ya Baba yake!

http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/07/121.jpgNi mara chache sana kuona mtoto mwenye mwaka 1 na miezi mitatu kupiga kinanda ambacho

Bangi kuuzwa madukani kama bidhaa nyingine Jamaica…




Kwa huku kwetu Tanzania Bangi ni moja ya dawa za kulevya ambazo zinapigwa marufuku,

Mastaa wa Basketball wanaoingiza pesa nyingi zaidi mwaka huu 2015 Marekani…



Mchezo unaopendwa zaidi ya michezo mingine Marekani ni Basketball, ni kawaida kukutana na mastaa kama

Hutaamini surprise 3 za Valentine’s Day anazoshauri Huddah Monroe wanawake wawape wapenzi wao!


Valentine’s Day hiyo inawajia. Ni siku ambayo kwa miaka mingi imekuwa ikitumiwa na wapenzi kuoneshana

Polisi jela kwa mauwaji


 Polisi wawili nchini Rwanda, wamefungwa miaka 20 jela kwa kumuua

DRC Vurugu Yawa Shangwe

Mashirika ya kutetea haki za binadamu yanasema kwamba watu 40 wamefariki

Director Kevin Bosco wa Kenya: Hanscana is the director to watch, trust me



Director Kevin Bosco Jnr aliyeongoza video mpya ya Mwana FA ‘Kiboko Yangu’

RADIO NA WEASEL MMOJA WAO APATA MTOTO



 


Msanii wa Uganda Weasel na mpenzi wake Samira wamepata

Idris Sultan atoa jibu kuhusu mjengo wake mpya kama amenunua au amepewa

Swali lililokuwepo kuhusu mjengo wa kifahari ambao mshindi wa BBA Hotshots, Idris Sultan ni kama amenunua au amepewa, na tayari mshindi huyo wa $300,000 za Biggy ametoa jibu.
idris house
Idris amesema mjengo huo ni wa kwake, na ni zawadi kutoka kwa aliyekuwa boss wake:
“Sasa hivi nina status flani kwahiyo natakiwa kujiweka vizuri kwasababu ni kioo cha jamii honestly I need to have a good house, Alikuwa boss wangu ni mwenye kampuni ya Alosco, niko nae karibu, amenipa, amenipa ina kama muda, nahamia huko Jumapili.”

Thursday, 22 January 2015

Lulu Atoa ya Moyoni kwenda kwa Marlow

Moja ya mastaa ambao waliwahi kufanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, Marlaw amekuwa

Furaha kwa Paul wa P Square na mpenzi wake Anita…

P Square ni moja ya makundi ambayo yanafanya vizuri kwenye muziki Afrika,

Baba wa Geez Mabovu Studio kwa Lamar


Baba wa marehemu geez mabovu mzee ally amemtembelea

Madee Amdisi Lundenga


 
Wimbo mpya wa Madee ‘Vuvula’ haukuishia kumchana Chidi Benz peke yake

Wednesday, 21 January 2015

Kamwambie’ ya Diamond yahit upya Nigeria, blog zote zaipost, zingine zaitambulisha kama ngoma mpya


 

Haijulikani ni vipi wimbo huo jana umeonekana kuwa dhahabu kwenye blog za Nigeria, lakini kinachovutia ni kuwa blog zote kubwa na ndogo zimeupost wimbo huo.

Brand new track from mbeste_usiwe bubu


Rapper Mabeste ameachia ngoma mpya iitwayo ‘Usiwe Bubu’ anayowataka wazazi kutonyamazia masuala mbalimbali yanayotokea kwenye familia zao. Usikilize hapa.

Teddy Kalonga apata uraia wa Marekani

Aliyewahi kuwa mtangazaji wa EATV, Teddy Kalonga aka TK, amepata uraia wa Marekani.
10948974_859056604152973_230382858_n
Teddy aliyeolewa nchini humo na ambaye ni mama wa watoto wawili amekuwa akiishi nchini humo kwa miaka kadhaa sasa lakini akiwa kama raia wa kigeni.

Kundi la P Unit Lavunjika

 P-unit
Kwa mujibu wa standard Digital,member wa kundi hilo liloundwa mwaka 2007 kila mmoja

Baadhi ya Picha Model/Video Queen Akiwa......?

 

Jina Lake Kamili Anaitwa Petronia Yahaya Mfaume ni Mwanafunzi wa Chuo cha

Sheddy Clever Kudili na P Square,Tiwa Savage

http://s4.hulkshare.com/song_images/original/d/a/1/da1a4de59991d3e79888f0f598ab126d.jpg?dd=-62169985172
Producer Sheddy Clever mmiliki wa Burn Records ndiye atakayehusika katika

Christian Bella Kulipua Milion 68

http://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/field/image/IMG-20140826-WA0009.jpg?itok=GukflSmQ
Jaribu kufikiria mwimbaji wa nyimbo maarufu kama Safari Siyo Kifo, Yako Wapi Mapenzi, Nani Kama Mama, Usilie na nyinginezo anapoamua

Mwanamke hana jeuri ya kumkatalia mpenzi wake kupiga picha za Uchi?

                         
Muimbaji wa Uganda, Juliana Kanyomozi amefunguka kwa urefu kuhusiana

Lil Wayne kutoa mixtape

 
Wakati album yake ya The Carter V inasubiri tarehe ya kuachiwa rasmi, Lil Wayne ameamua