Alichikisema H . BABA Kuhusu Video ya Ally Kiba
Hiki Ndicho alichokisema H . BABA Kuhusu Video ya ALLY KIBA ya mwana.
Kiukweli kabisa ally kiba alichokifanya katika video yake ya mwana anajielewa sana kwa kiwango kikubwa alichoonyesha kwanza kaifanya kitofauti na wabongo walivyotarajia.
Mashabiki wa bongo fleva huyu ally kiba sio yule tena amefanya kile kitu nilichokuwa nakiwaza mimi baada ya kusikia ngoma ya MWANA wengi mnachanganya na hii ngoma inaitwa mwana sio mwanadar es salaam ndio maana wengi mlitaka afanye dar sasa nawaambia hivi hii style aliofanya inaitwa bongo bolingo flavour
Haziitaji story kwenye video kama FILAMU ila ingekuwa Arabic style sawa story nivyema zaidi KIBA kaitendea haki video ya mwana sana sana kama huamini utaniambia nje ya TZ itakuwa wimbo wa taifa kwasababu kaitendea haki BIG UP KIBA umenifurahisha sana umecheza kwa haki kama beat inavyotaka umeitendea haki kinyama hii ngoma ya mwana
hicho ndicho alichokisema HAMIS BABA A.K.A H . BABA
Post a Comment