Beyonce atangaza kuwa mjamzito kwa picha hii?
Tetesi za kuwa Beyonce ni mjamzito zimezidi kupamba moto baada ya staa huyo kupost picha mpya yenye ujumbe mahususi.
Beyoncé alitumia Instagram kupost picha yake mwenyewe akiwa amejifunika na mchanga na sehemu ya tumbo kulundika mchanga mwingi zaidi uliotengeza umbo la mimba.
Kwenye picha hiyo, Blue Ivy anaonekana akicheza pembeni yake.
Followers wake walikuwa wa kwanza kugundua kuwa Queen Bey alikuwa anatangaza ujauzito wake mpya.
“Very creative announcement,” aliandika mmoja.
Post a Comment