0
Madonna alimbusu Drake japo tofauti na fikira za watu wengi, Drake alifurahia busu hilo kutoka kwa muimbaji huyo mwenye umri wa miaka 56.
Tukio hilo lilitokea weekend iliyopita kwenye tamasha la Coachella ambapo Madonna alimshtukiza Drizzy kwa denda hatari! Drake alionekana kama akifurukuta kuutoa mdomo wake kwenye himaya ya muimbaji huyo hali iliyowafanya wengi waamini kuwa hakuifurahia.

Drake ana mtazamo tofauti.

“Don’t misinterpret my shock!! I got to make out with the queen Madonna and I feel about that forever. Thank you @madonna,” aliandika jana kwenye Instagram.

Post a Comment

 
Top