NEW VIDWO:Goodluck Gozbert – Acha Waambiane Official video
Muimbaji na mtayarishaji wa muziki Goodluck Gozbert a.k.a Lollipop kutoka Mwanza ametoa ramsi video ya wimbo wake uitwao ‘Acha Waambiane’ iliyoongozwa na Ashishi. Goodluck ndiye muandishi wa hit ya Mo Music ‘Basi Nenda’ pamoja na hit ya Barakah Da Prince ‘Siachani Nawe’.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.