0
Nikki Mbishi ameijibu makala ya Nick wa Pili isemayo Hip hop inavyoikwamisha hip hop Tanzania.
Nikki Mbishi kueleza kuwa utofauti uliopo kati ya muziki wa Hip Hop na uhusiano wake kwenye biashara.

“Hip Hop ni utamaduni wa watu wanavyoishi na sanaa nzuri inayofanyika kwenye ubora wake unaweza ukaleta biashara na kutengeneza brand hiyo ndo inaweza ikaleta biashara,” amesema. “Hip Hop kama Hip Hop yenyewe sio biashara. Unaweza ukaona Dr.Dre na Jay Z ni watu waliotolewa mfano, lakini ukiangilia kazi za muziki wanazofanya ni tofauti na vitu wanavyovifanya na kuwaingizia pesa nyingi. Bora useme unafanya muziki ili upate riziki yako ila usishawishi raia kwa mifano dhaifu kuwa hiyo ndo Hip Hop. Sio kila mtu anaweza kuwa kama Jay Z japo wengi wanatamani.”

Post a Comment

 
Top