STORY: Destiny’s Child kurudi tena
Mashabiki wa kundi la Destiny’s Child wameanza kupata mshtuko baada ya kuona dalili zinazoonyesha kuonekana kurudi tena kwa kundi hilo. Hii ni ndoto ya muda mrefu kwa mashabiki wa kundi hilo. …

New Music:Solidstar Ft. Diamond Platnumz - Money.mp3

New Music:Solid_Star_Ft_Ice_Prince_Patoranking_-_Bam_Bam mp3

Story:MAVINS RECORD KUMSAINISHA IYANYA
Mavins rekodi , Don Jazzy ametweete kuwa wataanza kufanya kazi na iyanya. …

New Video:Abby Skillz ft Alikiba & Mr Blue - Averina (Official Music Video)

New Music:Iyanya-Up-To-Something-ft-Don-Jazzy-x-Dr-Sid.mp3

STORY:Tuzo za ‘Abryanz Style and Fashion Awards 2016’ zawaniwa na Diamond, Alikiba, Wema, Zari
Orodha ya wasanii watakaowania tuzo za mitindo za Abryanz Style and Fashion Awards 2016, Ijumaa ya Disemba 9 kwenye ukumbi wa hotel ya Serena mjini Kampala imetoka. …

STORY:album ya ‘Above In a Minute’ December itakuwa mtaani
Kundi lililotajwa kuwania tuzo za MTV MAMA mwaka huu, Navy Kenzo, litaachia album yake mpya ‘Above In a Minute’ December mwaka huu. …

New Music:Abby Skillz Ft. Alikiba & Mr Blue - Averina.mp3

New Video:Tiwa Savage - Rewind ( Official Music Video )

STORY:Lebo yoyote itakayokubali masharti yangu nitafanya nayo kazi
Dayna Nyange amefunguka kuwa atakuwa tayari kuwa chini ya lebo yoyote endapo watakubaliana na masharti yake. …

STORY:KADJANITO NDOA NA MZIKI VITU VIWILI TOFAUTI KABISA
Msanii wa Bongo Flava, Khadija Said Maige, maarufu kama Kadjanito amesema licha ya kufunga ndoa, muziki ataendelea kuufanya kama kawaida. Muimbaji huyo atafunga ndoa na mchezaji wa mpira, Tresor Lisimo, Jumamosi hii, Oktoba 29. …

New Video:IBRAHNATION_NILIPIZE Official Video

Story: Alichosema Dj Maphorisa juu ya wasanii wa bongo
Msanii na mtayarishaji wa muziki kutoka nchini Afrika Kusini, Dj Maphorisa amefunguka urahisi anaoupata wakati anapofanya kazi na wasanii wa Tanzania. …

STORY: Label ya Emanuel Austin EMA Entertainment Hataree
Muimbaji na mwalimu wa dance anayeishi nchini Ujerumani, Emanuel Austin, ameanzisha label yake – EMA Entertaiment.…

WCB wampiaga bao shaa kumsainisha msanii huyu wa kike

Label ya Shaa, SK Musik, ilizidiwa ujanja na Wasafi Records ya Diamond na kumwahi kumsainisha msanii wa huyu wa kike. …
New Music/Video:Qboy ft Rayvanny & Shetta - MUGACHERERE.mp3
New Video:Angel Benard - Kiu Yangu (Official Video)
New Video :Yamoto Band: Mama (Cover) – Coke Studio Africa
#MTVMAMA2016: TANZANIA YALA ZA USO KWENYE TUZO
Tanzania imetoka kapa kwenye tuzo za MTV MAMA 2016 zilizofanyika usiku wa Jumamosi hii jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Diamond, Alikiba, Vanessa Mdee, Raymond, Navy Kenzo na Yamoto Band walikuwa wametajwa kuwania tuzo hizo.…
ALICHOKISEMA AMMY CHIBA BAADA YA KUSHINDA SUPER NYOTA MBEYA

Msanii wa mziki wa kizazi kipya toka jijini MBEYA AMINA CHIBABA maharufu kama AMMY CHIBA Amekuwa mshindi wa super nyota iliyofanyika siku ya juma pili na redio clous katika viwanja vya sokoine jijini mbeya.…