Mrembo na muigizaji wa filamu Chuchu Hans ameyasema hayo alipokuwa akiohijwa kwenye kipidi cha Take One kinachorushwa na kituo cha televisheni cha Clouds TV.
“Ninachojua JOHARI hakuwahi kuwa na mahusiano yoyote ya kimapenzi na RAY ila ni Partners in Business tofauti na watu wanavyofahamu"
Chuchu Hans alisisitiza kuwa bado yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na muigizaji na muongozaji wa filamu, Vicent Kigosi ‘Ray’mbali na tetesi za zilizoenea kuwa wameteman.
Ray anadaiwa kuwa alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Johari ambae kwa pamoja wanamiliki kampuni ya kutengeneza filamu ya RJ.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment