0

Hizi ni picha za mwigizaji Wema Sepetu ambazozinasamabaa kwa kasi huko Instagram zikionyesha watu wakiwa wamemshika tumbo kwa nyataki tofauti huku wote sura zao zikiwahazionekani....Moja kati ya akaunti kwenye mtandao huoinayoendeshwa na shabiki mkubwa wa Wema,inayokwenda kwa jina la

WEMADAILY, ilizitupiapicha hizi na kuandika mameno “ ”kuachilia kuwa anataka aseme jambo nakum “tag”Wema.Baada ya muda kidogo akaibuka tena na kutupiapicha nyingine nakusema ameambiwaasitoboe.

Akaunti hii ndio ilikuwa ya kwanza kutoa picha za Wema akiwa na mp3nzi wake mpya Ommy Dimpoz.Comments za mashabiki ndio zilizoshtua watukwani karibu watu wote walikuwa wakifurahia na kupongeza ‘Madame’kwa kupata katumbo nawengine wakilalamika kuwa kitaanza kumuhalibia magauni MISS wao.

Post a Comment

 
Top