Ndikumana na Lucy Komba Meneja wa Lucy Komba, Goodluck Komba ambae pia ni kaka wa Lucy, amesema kuwa ujio wa kazi hiyo itaufafanua ukaribu wa Lucy na Ndikumana ambao ulizua utata.
“Unajua ukaribu wa Lucy na Ndikumana ulimfanya Irene azungumze vitu vingi kwakuwa alikuwa ni mume wake lakini ukweli ilikuwa ni movie,” amesema Goodluck.
Goodluck amesema kuwa kazi hiyo ambayo Ndikumana ataonekana akila udongo na kujisikia kichefuchefu baada ya mke wake Lucy kushika ujauzito, itatoka Jumatatu huku akiwataka wadau filamu na watanzania kuiunga mkono kazi hiyo yenye stori nzuri.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.