Muimbaji wa TMK Wanaume Family, Chege Chigunda amedai kuwa uamuzi wake na Temba kwenda kufanya video yao ‘Kaunyaka’ nchini Afrika Kusini, hakumaanishi kuwa Tanzania haina maeneo mazuri ya kufanya video bali waliamua kufanya hivyo ili kupata kitu tofauti.
Chege amemtolea mfano msanii wa Marekani, John Legend aliyeamua kwenda Zanzibar kufanya video ya wimbo wake.
“Ni kubadilisha tu idea then unarudi unafanya kitu kile kile,” amesema Chege.
Chege na Temba walisafiri na Adam Juma kwenda kushoot video nchini humo.
Home
»
Entertainment
»
STORY
» Chege adai kushoot video yake Afrika Kusini hakumaanishi Tanzania hakuna maeneo mazuri
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment