0
Mke wa msanii wa filamu, Dr.Cheni aliikataa filamu ya mume wake itwayo ‘Nimekubali Kuolewa’ kwa kudhani mume wake ataolewa kweli.
Kupitia Instagram, Cheni ameandika: Wife naye ameiruhusu movie itoke nimemwelewesha kuwa sijaolewa kweli nimeolewa kimovie tu amekubali itoke dah ndoa hizi.”

Baada ya kuwa imekataliwa na bodi ya filamu, ‘Nimekubali Kuolewa’ imeingia sokoni rasmi Jumatano huku ikitarajiwa kuuzika zaidi kutokana na utata wa filamu hiyo.

Post a Comment

 
Top