Bushoke azungumzia project yake inayofata baada ya uchaguzi
Ruta Maxmillian Bushoke ni miongoni mwa wasanii waliokuwa busy na show za kampeni zilizodumu kwa miezi miwili.
BreakingNews,Dr. John Pombe Magufuli ametangazwa rasmi kuwa mshindi kiti cha Urais Tanzania.
Mgombea urais wa chama cha CCM Mh. John Pombe Magufuli ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa
Christian Bella na Alikiba wamaliza kushoot video ya ‘Nagharamia’ South
Christian Bella na Alikiba waliopo nchini Afrika Kusini, wamekamilisha ku-shoot video ya wimbo wao ‘Nagharamia.’
Video ya collabo ya Diamond na Ne-Yo kufanyika Marekani na Afrika
Diamond Platnumz ambaye amefanya collabo na msanii mkubwa wa R&B wa Marekani, Ne-Yo ameelezea hatua ilipofikia project hiyo inayotarajiw...
Kionjo cha video mpya ya Harmonize ‘Aiyola’
Msanii mpya wa label ya WCB inayomilikiwa na superstar Diamond Platnumz, Harmonize amewaonjesha mashabiki sekunde 11 za video yake ya kwanza
Chris Brown ana kipaji sawa na Michael Jackson na Tupac wakiunganishwa pamoja
Nick Cannon anaamini kuwa Chris Brown ana kipaji ambacho ni sawa na ukiwaunganisha Michael Jackson na Tupac.
Davido kuachia album yake mpya ‘Baddest’ mwakani badala ya mwaka huu
Staa wa muziki kutoka Nigeria, Davido amebadili mawazo ya kuachia album yake mpya dakika za mwisho.
Diamond ashinda tuzo ya ‘Worldwide Act Africa/India’ kwenye MTV EMA
Diamond Platnumz ameiletea sifa na heshima kubwa Tanzania kwa mara nyingine, kwa kushinda tuzo kubwa ya ‘Best Worldwide Act Africa/India’ kw...