Feza Kessy awa msanii wa tatu kusaini mkataba wa usimamizi na Panamusiq
Baada ya waimbaji Ben Pol na Linah Sanga kusaini mikataba ya usimamizi na kampuni ya kusimamia wanamuziki ya Panamusiq, aliyekuwa mwakilishi...
Ben Pol kufanya collabo ya kwanza ya kimataifa na msanii wa kike wa Nigeria
Baada ya Ben Pol kuingia kwenye mkataba mpya wa usimamizi wa kazi zake na kampuni ya Panamusiq hivi karibuni, muimbaji huyo wa R&B amean...
Sony yapanga kuzitoa nyimbo za Beyonce kwenye mtandao wa Tidal
Miezi michache baada ya kuuzindua mtandao wake wa Tidal, Jay Z ameanza kupata pigo.
Flaviana Matata akava jarida la New African Woman
Flaviana Matata ndiye mrembo aliyepo juu ya kava la jarida jipya New African Woman.
Uhuru wa Afrika Kusini wamuomba Diamond afanye nao Remix ya wimbo wake mpya
Wimbo na video mpya ya Diamond ft. Mr. Flavour wa Nigeria imekuwa na mapokezi makubwa hata kwa mastaa wakubwa wa Afrika, ambao wamempongeza ...
Besta arejea studio kufanya album mpya baada ya kupata mtoto wa pili
“Narejea kwenye muziki kwa nguvu zote.” Hiyo ni kauli ya msanii wa kike Besta, ambaye alisumbua na video ya wimbo wake wa ‘Baby Boy’ miaka k...
Natoa album ya ‘Mount Uluguru’ kutengeneza profile yangu sio kupata hela!
Rapper kutoka Morogoro, Stamina aliye mbioni kuachia album yake ‘Mount Uluguru’ amesema ameamua kuachia album yake ‘Mount Meru’ si kwasababu...
Karrueche Tran asema habari ya Chris Brown kuwa na mtoto aliipata mtandaoni kama watu wengine
Aliyekuwa girlfriend wa muimbaji wa R&B Chris Brown, Karrueche Tran amesema kuwa hata yeye habari ya kuhusu Breezy kuwa na mtoto aliifah...
Leo ni miaka miwili tangu kifo cha Albert Mangwair
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete aliwahi kusema anasikitika kuona kwamba zamani watoto walikuwa wakiwazika waza...
NEW AUDIO:AFANDE SELE ^ MC KOBA UUNGWANA NI KITENDO Mp3
Wimbo mpya wa afande sele ambao amefanya na mc koba kwa ajili ya chama chake cha ACT.
Jacqueline Wolper azungumzia fashion, reality show na kuacha kufanya filamu
Jacqueline Wolper alipewa jina la utani ‘Wolperstylist’ na mashabiki kutokana na jinsi anavyotupia pamba kali.
Kala Jeremiah asema hakuna atayekuja kutokea kama Profesa Jay
Kala Jeremiah anaamini kuwa hakuna msanii atakayetokea kuja kuwa kama Profesa Jay.
Jishindie Smart Phone kila week | Show Time New Chapter
Jumatatu ya Tarehe 25/5/2015 Radio Free Africa ilianzisha New Segment kwenye kipindi chake cha Show Time New Chapter kinachorushwa hewani...
K-Lynn azungumzia maisha yake kama mama, kwanini hawezi kurudi kwenye muziki na kazi ya interior design
Ni nadra sana kukutana na Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi maarufu kama K-Lynn lakini kupitia tuzo za watu tulifanikiwa kupiga story mbili tatu....
Designer wa Chris Brown na August Alsina amshutumu Diamond kwa kuvaa nguo zake feki, azua mjadala, mwisho akubali kufanya kazi naye
Kuna usemi usemao kuwa ‘wagombanao ndio wapatanao’ na hiki ndicho kilichotokea weekend hii. Diamond akiwa amevaa nguo ya Roperrope ambayo d...
Filamu ya Van Vicker na Wema Sepetu ‘Day After Death’ kuzinduliwa September, Dar (Video)
Filamu ya Wema Sepetu na muigizaji wa Ghana, Van Vicker ‘Day After Death’ inatarajiwa kuzinduliwa September mwaka huu jijini Dar es Salaam.
Keisha naye kuwania ubunge mwaka huu
Mzuka wa siasa unazidi kuwaingia wasanii wengi wa muziki nchini. Keisha ni mmoja wao.
BET walitulipa milioni 46 kwa kucheza video ya Diamond kwa siku 4 tu
Amini usiamini Diamond Platnmuz alifaidika mara mbili baada ya video yake kuchezwa na kituo kikubwa cha runinga cha Marekani, Black Entertai...
Barakah Da Prince asema aliwahi kuwa rapper, anampango wa kufanya wimbo wa Kurap na Roma na Fid Q
Kila msanii aliyefanikiwa huwa ana historia inayokuwa na mambo mengi ambayo mashabiki hawayafahamu ambayo aliwahi kuyapitia kabla ya kupata ...
Mpaka nakufa kamwe sintowasahau Wema na Petit mliokuwa nembo na mboni kubwa katika kuokoa maisha yangu
Licha ya kuwa urafiki wa muigizaji Kajala Masanja na Wema Sepetu bado uko juu ya mawe, lakini muigizaji huyo amesema kuwa mpaka siku anaenda...