Sijafika sehemu nayotaka nifike kwenye muziki, aelezea kinachomkwamisha
Msanii wa muziki aliye chini ya kampuni inayomilikiwa na Wema Sepetu, Endless Fame Films, Mirror ameweka wazi kuwa bado yupo njiani kuyafiki...
Tunda Man: Tip Top ya zamani haikuwa na majungu, asema anatamani Cassim arudi
Msanii kutoka Tip Top Connection ya Manzese, Khaleed “Tunda man” Ramadhan amefunguka kwa kusema kuwa Tip Top ya kipindi cha nyuma haikuwa na...
Stamina aitetea ‘Like Father like Son’ kuwa haijabuma, adai inafanya vizuri mikoani kuliko Dar
Rapper Stamina amesema kuwa wanaosema kuwa collabo yake na Fid Q ‘Like Father Like Son’ imebuma, labda wanasikiliza radio za Dar peke yake k...
Huu unaweza kuwa wimbo wa Bongo Flava ambao Diamond anaupenda zaidi!
Diamond Platnumz si shabiki wa muziki wa kihindi peke yake.
Wanjera ya Ommy Dimpoz yaingia kwenye chart ya muziki wa Afrika ya MTV Base
Video ya wimbo wa Ommy Dimpoz, ‘Wanjera’ imeingia kwenye chart ya muziki wa Afrika ya kituo cha runinga cha MTV Base.
Hussein Machozi: Mashabiki msimu ujao wataniona kupitia soka, najiandaa kusajiliwa na Kagera Sugar
Muimbaji wa bongo fleva Hussein Rashid Dodi a.k.a Hussein Machozi, ametangaza kuwa mwakani (2016) huenda ukamuona akiingia uwanjani kuicheze...
Rapper Nelly kutoa album ya muziki wa country
Rapper Nelly anatarajia kutoa album ya muziki wa country.
Justin Bieber kuubeba mkanda wa Mayweather atakapoingia ulingoni Jumamosi hii
Justin Bieber ni shabiki namba moja wa Floyd Mayweather ndio maana ataubeba mkanda wa bondia huyo wakati atakapoingia ulingoni Jumamosi hii....
Najua nitamdunda Mayweather
Bondia wa Ufilipino, Manny Pacquiao amewaambia mashabiki wake kuwa ana uhakika atamdunda Floyd Mayweather kwenye pambano lao linalongojewa k...
Ommy Dimpoz: Hakuna kitu ninachokipenda kama kurusha fedha, mikufu kwa mashabiki wangu nikiwa jukwaani
Kila msanii hua na mzuka wake awapo jukwaani, hasa mashabiki wakiwa nyomi na shangwe zikitawala. Kwa upande Omary “Ommy Dimpoz” Nyembo mzuka...
Nas atangaza kuachia album mpya mwaka huu
Rapper mkongwe Nas ametangaza kuachia album mpya mwaka huu (2015) ikiwa ni miaka mitatu imepita toka alipotoa album yake ya sita.
Professor Jay asema siasa haiwezi kumtenganisha na muziki, aizungumzia project mpya ya muziki ‘The Icon’
Rapper mkongwe Joseph Haule aka Professor Jay amesema siasa haiwezi kumtenganisha na muziki, na pia amejipanga kuja na project mpya ya muzik...
Dully Sykes auzungumzia wimbo wake mpya ‘Shuka’ unaotoka Jumatatu ijayo
Dully Sykes ataachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Shuka’ Jumatatu ijayo. Wimbo huo umetayarishwa na yeye mwenyewe kwenye studio zake za 4.12.
Mimi ni mwanamke – Baba wa Kim Kardashian, Bruce Jenner (Video)
Baba wa kambo wa Kim Kardashian, Bruce Jenner ameweka wazi kwa mara ya kwanza uamuzi wa kujibadilisha kuwa mwanamke.
Katika video zangu zote ambazo nimefanya kwenye muziki nafikiri ‘Nusu Nusu’ naipa namba moja
Rapper wa Weusi, Joh Makini Ijumaa iliyopita (April 24) video ya wimbo wake mpya ‘Nusu Nusu’ iliyofanywa Afrika Kusini ilitambulishwa ‘excl...
Jay Z kuhusu TIDAL: Hata iTunes haikujengwa kwa siku moja, tafadhali tupeni nafasi tukue na kuimarika
Mfanya biashara na rapper Shawn Corey Carter maarufu kwa jina la Jay Z ameibuka kuutetea mtandao wake wa kusikiliza nyimbo ‘Tidal’ uliozindu...
Mzee Majuto aanza project ya kurekodi filamu 100! Asema akimaliza anapumzika kufanya filamu
Mchekeshaji mkongwe, Amri “Mzee Majuto” Athumani amefunguka na kuweka wazi project yake mpya ya kuandaa filamu 100. Mzee Majuto akifurahia ...
MB Dog asema anafanya jitihada za kuirudisha heshima yake kwenye muziki
Mkali wa ‘Latifa’, ‘Mapenzi kitu gani’, ‘Si uliniambia’ na nyingine nyingi, Mbwana Mohamed a.k.a MB DOG amesema licha ya muziki kuwa na ushi...
H.Baba aeleza sababu za kuwaita watoto wake wawili Tanzanite na Afrika
Msanii wa Bongo Fleva H.Baba ambaye wiki iliyopita mke wake Florah Mvungi alijifungua mtoto wa pili wa kiume, amesema kuwa majina aliyoamua ...
Kuna mtu namtamani sana, asema alichokiimba kwenye ‘Leo leo’ kina uhalisia
Mwanamitindo, mbunifu na Miss Tanzania namba mbili mwaka 2006, Jokate Mwegelo aka ‘Kidoti’ amesema kuwa kuna mtu anamtamani sana kimapenzi.
New Video: Mo Music – Nitazoea official
Hit maker wa ‘Basi Nenda’ Mo Music kutoka Rock City ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Nitazoea’, ikiwa ni siku chace toka atambulishe audio...
Wema Sepetu apata deal la ubalozi wa hospitali ya kimataifa
Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, Wema Sepetu ameteuliwa kuwa balozi wa hospitali ya kimataifa ya macho.
Ben Pol asaini mkataba wa usimamizi na Panamusiq
Ben Pol amesaini mkataba mpya wa usimamizi na kampuni ya Panamusiq Ltd.
Chege, Young Killer, Bob Junior wawasihi wananchi kujiandikisha na kupiga kura
Young Killer, Chege na Bob Junior wamewataka watanzania kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura ili wapate haki yao...
Nahisi mashabiki wamenichoka kunisikia kwenye collabo
G-Nako huenda akawa ni miongoni mwa wasanii waliofanya collabo nyingi zaidi mwaka jana lakini hiyo imeanza kumpa wasiwasi.
Waka Flocka : Nikiwa rais wa Marekani jambo la kwanza nitakalofanya ni kuhalalisha Bangi! (Video)
Uchaguzi wa Marekani Kufanyika 2016 na Tayari Hillary Clinton ameshatangaza nia ya kugombea urais ,lakini huenda akakutana na upinzani kutok...
CHIBOW MTOTO WA PWANI ASEMA SABABU ZA KUTO KUFANYA VIDEO YA NAONGEA NA WEWE
Msanii wa mziki wa kizazi kimya wa miondoko ya hip hop amesema ameshindwa kufanya video ya naongea na wewe ambayo amemshirikisha beckatitle ...
Penny anywa Sumu Kisa kugombea mwanaume
Mtangazaji maarufu Bongo na aliyekuwa mp3nzi wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amedaiwa kunywa sumu kufuatia kunyang’an...
Tatizo la Kushindwa Kuzaa Kwa Wema Sepetu Waganga wa Kienyeji na Madaktari Kila Kona Wajitokeza Kumsaidia, Wema Adai Yupo Tayari
Kufuatia tatizo la kushindwa kupata ujauzito alilonalo msanii maarufu Bongo, Wema Sepetu, hivi karibuni waganga wapatao 26 kutoka sehemu ...
Mwigizaji Lulu Michael Arudi Tena Instagram Baada ya Kujitoa siku ya Kifo cha Secky
Siku ya Jana Accounts Mbali mbali Maarufu za Instagram zimeshinda zikipost kuwa Lulu michael amerudi instagram kwa jina la lizymichael B...
Mama Kanumba na mama Lulu Kimenuka, Mama Kanumba Adaiwa Kumtumia Mwenzake Meseji Mbaya
Taarifa zilizotua kwenye dawati la gazeti hili zinadai kuwa, wale wamama wa mjini ambao walikuwa mashosti hadi kufikia hatua ya kusema ni...
Hii ndio sababu halisi ya kwanini Big Sean na Ariana Grande wameachana!
Wawakilishi wa mastaa wa muziki wa Marekani, Big Sean na Ariana Grande waliutaja ubusy kuwa ndio sababu za wawili hao kuachana lakini mtanda...
Tiketi za ‘May -Pac’ kuanza kuuzwa leo
Tiketi za mpambano wa ndondi kati ya Floyd Mayweather na Manny Pacquiao katika ukumbi wa MGM Grand Garden Arena jijini Las Vegas, Marekani u...
Beyonce na Jay Z kuachia album ya pamoja kupitia mtandao wa Tidal
Mwishoni mwa mwaka uliopita kulikuwepo na tetesi kuwa Beyoncé na Jay Z walikuwa studio kurekodi album yao ya pamoja.
Barnaba apata shavu la kufanya collabo na Alicios Theluji wa congo
Muimbaji wa kike Mcongo Alicios Theluji ambaye ni hit maker wa ‘Mpita Njia’ ft. Juliana Kanyomozi na ‘Posa ya Bolingo’, ni miongoni mwa wasa...
Man Water afanya mziki wa live hivi sasa
Mtayarishaji wa muziki na mshindi wa tuzo za Kili, Man Water amesema amejipanga kuanza kurekodi live.
Cassim Mganga ajibu kwanini nyimbo zake zingine hazijafikia ukubwa wa hit yake ‘I Love You’
Muimbaji kutoka Tanga, Cassim Mganga au kama anavyopenda kujiita ‘Tajiri wa mahaba’ amekiri kuwa hit single yake ya ‘I Love You’ iliyompa sh...
NEW AUDIO:The Mavins ft. Don Jazzy, Tiwa Savage, Dr Sid, D’Prince, Di’Ja, Reekado Banks, Korede B_ Looku Looku Mp3ello
Alikiba na Christian Bella waingia studio kuandaa ngoma mpya
Christian Bella na Alikiba wameingia studio kutengeneza ngoma ya pamoja.
BAADA YA KUAMBIWA ANATUMIA ARV, AMANDA POSHY AAMUA KUONESHA MAJIBU YAKE YA “NGOMA” HADHARANI
Baada ya ile story iliyozagaa mitandaoni kuwa mwanadada Amanda poshy anatumia ARV (Dawa ya kupunguza makali ya virusi vya UKIMWI) hatimaye...