Tuzo za watu 2015 zarejea, vipengele vyaongezeka
Kampuni ya Bongo5 Media Group, imezindua msimu mpya na wa pili wa Tuzo za Watu Tanzania zilizoanzishwa mwaka jana ili kuwatuza watu kwenye sekta ya burudani na habari wanaofanya vizuri. …

Jose Chameleone kushiriki msimu mpya wa Coke Studio Africa
Maandalizi ya msimu mpya wa kipindi cha Coke Studio Africa yameanza. …

Belle 9 kuachia wimbo mpya ‘ Shaurizao’ Ijumaa hii
Muimbaji kutoka mji kasoro bahari Morogoro, Belle 9 anategemea kukata kiu ya mashabiki wake kwa kuachia wimbo mpya uanaoitwa ‘Shaurizao’ Ijumaa hii (March 27). …

Sababu sita za kwanini wabongo tunapenda Instagram!
Miaka ya hivi karibuni mtandao wa Instagram umeendelea kuwa maarufu zaidi katika ulimwengu wa mitandao ya kijamii. Kwa sasa mtandao huo una watumiaji ‘active’ zaidi ya milioni 300 ambapo zaidi ya milioni 75 huitumia kila siku. …

Taylor Swift aweka nyimbo zake zote kwenye mtandao alionunua Jay Z
Taylor Swift anarejea tena kwenye biashara ya kustream muziki wake baada ya mwaka jana kujitoa Spotify. …

NAY WA MITEGO NIPO TAYARI KUPIMA DNA

Kufuatia sintofahamu kati ya wapenzi wawili, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’, ambaye ni msanii wa Bongo Fleva na Siwema Edson juu ya mtoto wao mwenye umri wa miezi mitatu, mwanaume huyo …

VIDEO: Dice Ailes – Telephone official video

Brand new video from chocolate city fast rising act Dice Ailes for his single telephone… Personally I think its a great video and I hope to see more from Dice …

Davido To Drop Sophomore Album On Graduation Day
Isn’t this great news? As finally, we can put a date and draw a timeline trail as we earnestly anticipate perhaps the biggest album release of 2015.…

Inspekta Haroun kwenda Japan kutengeneza kazi mpya

Rapper wa TMK, Inspekta Haroun anatarajia kwenda nchini Japan kwenda kutengeneza ngoma na video mpya.…

Hanscana: Director anayenipa changamoto ni Godfather,mtu ambaye hatushei wateja huwezi kuwa challenge yangu
Director Hanscana ambaye ameonekana kuwa miongoni mwa watengenezaji wapya wa video wanaofanya vizuri kwa sasa Tanzania, amesema kuwa madirector wakubwa wa nje ndio wanaompa changamoto kwa sababu ndio anaowatazama zaidi. …

Zari the Bosslady atua kwenye ‘ikulu’ ya Diamond
First lady, Zari the Bosslady ametua rasmi kwenye nyumba mpya ya Diamond Platnumz ambayo yeye mwenyewe anaiita ‘state house’ …

Lady Jaydee ashirikishwa na msanii mahiri wa soul wa Kenya, Atemi
Lady Jaydee ameshirikishwa na msanii mahiri wa Kenya wa muziki wa soul, Atemi Oyungu kwenye wimbo uitwao Moyo. …

NEW AUDIO:BONZ ^ JUX_MY ANGEL Mp3

Wimbo mpya kutoka kwa msanii Bonz akimshirikisha Jux wimbo unaitwa “My angel” Producer Gard (AM Rec) …

Angelina Jolie aondolewa ovari na mirija ya kupitishia mayai ya uzazi
Muigizaji Angelina Jolie ameondolewa ovary zake pamoja na fallopian tube (mirija ya kupitia mayai kutoka kwa ovari hadi kwenye nyumba ya uzazi) kama njia ya kujikinga na saratani. …

Trailer ya filamu mpya ya Wema Sepetu na Van Vicker wa Ghana ‘Day After Death’

Filamu ya ushirikiano kati ya muigizaji wa Tanzania Wema Sepetu na muigizaji wa Ghana Van Vicker iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu hatimaye imekamilika. …

Tazama kionjo cha video mpya ya Shetta Feat. Kcee – Shikorobo

Ni saa chache zimebaki kabla hujapata nafasi ya kuiona na kuisikiliza kazi mpya ya Shetta ‘Shikorobo’ aliyomshirikisha rapper kutoka Nigeria Kcee, itakayotoka kesho March 25. Tazama kionjo kifupi cha video hiyo iliyoongozwa na Godfather na kufa…

Nuh Mziwanda Ajsifu Kumla Mtoto Mzuri Kiulaini

Nuh alitupia picha hiyo hapo chini nakuweka ujumbe huu "Mtoto Mbichiii namla kiulaini".…

Rey Mysterio anaweza kushtakiwa kufuatia kifo cha mcheza mieleka aliyepoteza maisha kwenye mchezo wao

Uchunguzi kuhusiana na uwezekano wa kosa la kuua bila kukusudia, umefunguliwa baada ya mtoto wa mcheza mieleka maarufu wa Mexico kupoteza maisha baada ya kupigwa wakati wa mechi. …

Nyumba ya Diamond ina choo chenye dhahabu (70m), gypsum customised na jina lake, pool, baa nk (picha), ni nyumba yake ya 10!
Diamond akiwa kwenye choo/bafu la ikulu yake kama anavyoiita. Dhahabu halisi zilizowekwa kwenye choo hicho zina thamani ya shilingi milioni 70…

WATANGAZAJI MBEYA WAVAMIWA NA KUPORWA BAADHI YA MALI

Watangazaji wawili jijini mbeya wavamiwa na watu wanaosemekana ni vibaka wa mtaa. Watangazaji hao wawili walikuwa katika sherehe ya uzinduzi wa video ya msanii dr fadhi ambae alikuwa anafanya uzinduzi huo katika eneo la nzovwe ukumi wa tumanyene all…

Siwema Amjibu Nay Wa Mitego..Asimulia Yote ..Asema Hata Mtoto sio wa Nay ni wa Obasanjo

Siwema na Mpenzi wake Nay wa Mitego Sakata la Nay wa Mitego na Aliyekuwa Mpenzi wake Siwema limeingia ukurasa mpya baada ya Siwema Kumjibu Nay wa Mitego na Kusema mambo makubwa yakushtusha..... …

Masanja Awa Mbele ya Jaydee na Profesa Jay Kwa Utajiri Tanzania

Utajili wa komediani maarufu Bongo, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ni kufuru! Tena unatisha na sasa anaonekana kuwa miongoni mwa wasanii wanaomiliki fedha na mali nyingi Bongo gazeti la Risasi Mchanganyiko limeripoti.…

MADAI MAZITO, NAY WA MITEGO AMFUMANIA MCHUMBA'KE KITANDANI ANASWANA KISERENGETI BOY
KABAANG! Mkali wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, amedaiwa kumfumania ‘laivu’ mchumba wake Siwema akiwa kitandani na ‘serengeti boy’ wake ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, Ijumaa lina full stori. …

Baba muigizaji wa Ghana, Nadia Buari akanusha tetesi kuwa Rais wa Ghana ndiye baba wa watoto mapacha wa mwanae!
Alhaji Sidiku Buari, baba wa kumlea wa muigizaji mrembo wa Ghana, Nadia Buari amechukizwa na tetesi kwenye vyombo vya habari nchini humo vinavyosambaza habari za uongo kuwa rais wa nchi hiyo, John Mahama ndiye baba wa watoto mapacha wa muigizaji huyo…

Juma Nature: Nikitaka ubunge wa Temeke naupata kirahisi kabisa
Juma Nature anaamini kuwa akiamua kugombe ubunge wa Temeke ataupata kirahisi. …

Chris Brown aachana rasmi na msoto wa miaka 6 ya kesi ya kumpiga Rihanna, amaliza ‘probation’
Hatimaye probation ya Chris Brown (25) kwenye kesi yake ya kumpiga aliyekuwa girlfriend wake wa wakati huo Rihanna imemalizika, na sasa amemalizana kabisa na kesi hiyo ikiwa ni miaka sita na mwezi mmoja toka atende kosa hilo mwaka 2009. …

MADAKTARI WAMTAHADHARISHA KIM KARDASHIAN KUPUNGUZA KUFANYA MAPENZI
Kim Kardashian. MADAKTARI wamemuonya mwanadada Kim Kardashian kuacha tabia yake ya kufanya mapenzi mara nyingi kwa kuwa ni hatari kwa afya yake. …

Drake Sued You Sabotaged 'Homecoming' ... To Line Your Own Pockets
Drake's campaign to kill his own movie release just got him a big fat lawsuit from the company distributing the film. …

DENTI MWENZAKE LULU ACHOMWA KISU NA KUFARIKI
CHAMIWA Adamu (23), kijana ambaye ni mkazi wa Kilimahewa- Manzese jijini Dar, ameuawa kwa kuchomwa kisu cha shingo na mtu aliyetambulika kwa jina moja la Mpelu kisa kikidaiwa ni shilingi mia mbili tu! Marehemu Chamiwa (pichani)alikuwa mwanafunzi m…

TID AITWA TENA JELA BAADA YA KUHUSISHWA NA MSALA MWINGINE
HAJAKOMA? Staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Chumvini, Khaleed Mohamed ‘TID’ amehusishwa na msala mwingine baada ya kudaiwa ku kumjeruhi James Richard, mkazi wa Jiji la Dar. …

Diamond Platnumz alikataa show ya tshs milioni 54 Uganda?
Diamond Platnumz hana njaa na ndio maana alizikataa dola 30,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 54 za Tanzania kufanya show nchini Uganda? …

'Jerry Springer' Producer Arrested for Murdering Deaf Sister
Jill Blackstone -- who produced a slew of big shows including "Jerry Springer," "Sally Jessy Raphael" and "Rosie"-- has been arrested for the murder of her deaf sister ... TMZ has learned. …

Huu nd’o mkwanja wa Floyd Mayweather mezani wa ajili ya chakula tu !
Huenda watu wanamfahamu Floyd Mayweather sio kwa sababu labda kila mtu anapenda mchezo wa Boxing.. au kila mtu anampenda, kiukweli wako wanaomfahamu kwa sababu ya mbwembwe zake,…

Jokate Afunguka “Hasheem Thabit Ana Vitu Amazing, Diamond Sikuenjoy Sana.

Mrembo na Staa wa Bongo Movie Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amesema kuwa katika mahusiano yake ya kimapenzi alitokea sana kumzimikia Hasheem Thabit kuliko Wanaume wote aliowahi kutoka nao kimapenzi Bongo .…
